1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko la watu duniani ni fursa au balaa?

24 Agosti 2022

Tanzania ni moja kati ya nchi zinazotajwa kuwa na ongezeko kubwa la watu duniani; ongezeko hilo linaweza kuwa ni sehemu ya changamoto za kiuchumi hasa katika mgawanyo wa rasilimali, lakini pia wachambuzi wa uchumi wanadai kuwa uwingi wa watu ni kupanuka kwa soko huku wengine wakiamini kuwa ni kuongezeka kwa nguvu kazi. Makala yetu leo inaangazia ongezeko la watu duniani ni fursa au balaa?

https://p.dw.com/p/4FyXi