Polisi wawatambulia walioshambulia kituo cha Mombasa
12 Septemba 2016Matangazo
Wanawake hao wawili ambao ni raia wa Kenya ni Tasnim Farah na Fatuma Omar. Wenzao watatu wanazuiliwa na polisi kusaidia katika uchunguzi baada ya kufuatiliwa hadi eneo la kibokoni Mombasa. Nilizungumza na mchambuzi wa maswala ya usalama nchini Kenya Mwenda Mbijiwe na kwanza anaeleza hali jumla ya usalama Mombasa kufuatia shambulizi hilo.
Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi:Jane Nyingi
Mhariri:Yusuf Saumu