1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raila akutana na Museveni na Kiir kuelekea uchaguzi wa Kenya

Sudi Mnette20 Mei 2022

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda amekutana na Mgombea Urais wa Kenya Raila Odinga katika Ikulu mjini Entebbe, baada ya mkutano huo waliungana na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini katika uzinduzi wa daraja mjini Juba ambalo kibiashara linayaunganisha mataifa hayo mawili. Ziara hii ina maana gani kwa siasa za Afrika Mashariki? Sikiliza mahojiano ya Sudi Mnette na Ali Mutasa.

https://p.dw.com/p/4Bcc3