Rais Joe Biden wa Marekani anayeitembelea Angola leo anasafiri kutoka mji mkuu Luanda na kwenda kuutembelea mradi mkubwa wa miundombinu ya reli unaofadhiliwa na nchi yake unaofahamika kama Ushoroba wa Lobito.Lakini nchi za Afrika zinanufaika nini na miradi kama hiyo? Rashid Chilumba amemuuliza swali hilo na mengine mchambuzi wa masuala ya uchumi kutoka Dar es Salaam, Walter Nguma.