1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais mpya wa Burundi ataboresha haki za binadamu?

Saleh Mwanamilongo29 Septemba 2020

Burundi ilikumbwa na mgogoro mpya mwaka 2015 wakati Rais Pierre Nkurunziza aliposhiriki uchaguzi kwa muhula wa tatu hali iliyoanzisha maandamano. Umoja wa Mataifa na mashirika ya kutetea haki za binadamu yaliripoti visa vya ukiukaji wa haki za binadamu tangu wakati huo. Je rais wa sasa ataboresha hali hiyo? Mbiu Ya Mnyonge inamulika hilo na mtayarishaji ni Saleh Mwanamilongo.

https://p.dw.com/p/3j9Bm