1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ripoti ya mimba za mapema Kenya

20 Julai 2022

Ripoti ya wizara ya afya Kenya inaonyesha kuwa msichana mmoja kati ya watano umri ukiwa ni wa miaka 15 hadi 19, tayari ni mama au mja mzito wa mtoto wake wa kwanza. Ongezeko la visa hivi limeifanya Kenya kushikilia nafasi ya tatu kote duniani kwa kadhia hiyo, ikiwa na visa vingi vya mimba ya utotoni. Isikilize Makala Yetu Leo iliyoandaliwa na Shisia Wasilwa.

https://p.dw.com/p/4EOyr