Rwanda Jumannehii inaadhimisha Siku ya Mashujaa waliotajwa na serikali kuwa walifanya juhudi zilizowezesha kuyaokoa maisha ya wananchi na kuleta maendeleo kwenye jamii. Mwandishi wetu Janvier Popote akiwa nchini Rwanda alizungumza na vijana mbalimbali kuhusu mashujaa wao na kutuandalia ripoti ifuatayo.