1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shida ya Umeme Zanzibar

8 Januari 2010

Kisiwa cha Zanzibar kimekuwa bila ya umeme tangu Disemba 10 mwaka jana, kutokana na kuharibika kwa waya wa chini ya bahari unaopeleka umeme kutoka Tanzania Bara hadi kisiwani humo.

https://p.dw.com/p/LOsV
Kisiwa cha Zanzibar bila umemePicha: Stefan Pommerenke

Ukosefu huo wa umeme umeleta madhara kwa biashara ya utalii, inayokipatia kisiwa hicho asilimia 20 ya mapato yake, pamoja na harakati nyingine za kiuchumi.

Leo waziri wa nishati wa Visiwa vya Zanzibar, Yusuf Himid, alikuwa na mkutano na waandishi wa habari na akawaelezea juu ya ratiba rasmi ya matengenezo ya waya wa umeme ulioharibika yalioanzia Disemba 20. Othman Miraji amezungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu Hawra Shamte ambaye alikuweko katika mazungumzo hayo na waziri Himid aliyesema:

Mhariri: Aboubakary Liongo