Siku ya Maji duniani - hali visiwani Zanzibar
22 Machi 2013Matangazo
Huko Zanzibar, kuna tatizo litokanalo na hali ya kuenea kwa maji chumvi, katika maeneo ambayo hapo nyuma yalikuwa na maji safi, na hilo linatatiza upatikanaji wa maji katika kisiwa hicho. Muda mfupi uliopita Daniel Gakuba amezungumza na mtaalamu wa mazingira huko Zanzibar, Hamza Zubeir, na kwanza alimuuliza kuhusu ukubwa wa tatizo hilo. Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Daniel Gakuba
Mhariri:Yusuf Saumu