Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema vikosi vya nchi hiyo vimeyakomboa maeneo zaidi katika jimbo la Kherson//Korea Kusini na Japan zimesema Korea Kaskazini leo imefyatua makombora mengine mawili, siku mbili tu baada ya jaribio lake la mwisho//Benki ya Dunia imesema sio rahisi ulimwengu kulifikia lengo lake la kuondoa umaskini uliokithiri ifikapo mwaka 2030