Saudi Arabia imesema kumuwajibisha mrithi wa kiti cha ufalme Mohammed Bin Salman kutokana na mauaji ya Jamal Khashoggi ni jambo lililovuka mipaka // Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amesema atarejea Ubelgiji siku ya Jumamosi kuendelea na mazungumzo ya Brexit // Marekani imesema mazungumzo ya amani ya kumaliza vita Yemen yatafanyika mwanzoni mwa mwezi Disemba nchini Sweden