27 Mei 2020
Matangazo
Serikali ya Afghanistan imewaachia mamia ya wafungwa wa kundi la Taliban.
Urusi yamuarifu mbabe wa kivita nchini Libya Khalifa Haftar, kwamba inaunga mkono usitishwaji wa mapigano nchini humo.
Chama kikuu cha upinzani Burundi chajiandaa kupinga mahakamani, matokeo ya uchaguzi wa rais wa wiki iliyopita.