1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 02.07.2024

V2 / S12S2 Julai 2024

Muhtasari. Jeshi la Israel latoa amri mpya ya watu kuondoka vitongoji vya Rafah // Mahakama ya juu Marekani yasema Trump ana kinga kiasi ya kutoshitakiwa //Tume ya taifa ya haki za binadamu ya Kenya imesema jumla ya watu 39 wameuawa katika maandamano ya kuipinga serikali.

https://p.dw.com/p/4hl0g