1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 06.11.2023

6 Novemba 2023

Jeshi la Israel laugawa Ukanda wa Gaza pande mbili za kaskazini na kusini. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ahimiza ujasiri wa kiraia kuwalinda Wayahudi Ujerumani. Na watu zaidi ya 20 wauwawa kwenye shambulizi la kombora nchini Sudan.

https://p.dw.com/p/4YR18