1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 05.08.2022

5 Agosti 2022

Amnesty International yasema vikosi vya Ukraine vinakiuka sheria za kimataifa na kuhatarisha raia, balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Linda Thomas-Greenfield asema mataifa ya Afrika yako huru kununua nafaka kutoa Urusi na spika wa baraza la wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi asema Marekani "haitairuhusu" China kuitenga Taiwan

https://p.dw.com/p/4F9mx