Watu wasiopungua 21,320 wameuawa katika ukanda wa Gaza tangu kuzuka kwa vita na Israel Oktoba 7 mwaka huu, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky atoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kushirikiana na nchi hiyo katika vita dhidi ya Urusi na mataifa ya Magharibi, yailaani Iran kwa kuongeza uzalishaji wake wa madini ya urani