SiasaTamko la LHRC dhidi ya shambulio la IMMATo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaHawa Bihoga29.08.201729 Agosti 2017Kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) pamoja na rais wa Chama cha Wanansheria Tanganyika (TSL) wamemtaka kaimu jaji mkuu atoe tamko la kulaani shambulio dhidi ya ofisi za kampuni ya uwakili ya IMMA jijini Dar es Salaam.https://p.dw.com/p/2j1pSMatangazo