Leo katika makala Sema Uvume ya DW Kiswahili Utawasikia vijana watatu wa kitanzania waliobuni Teknolojia inayotumia Mobile Application(Mobile App) inayofahamika kama ´KM360´ ambayo inasaidia kumuunganisha mkulima hasa wa kipato cha chini na mifumo ya kibenki na kumwezesha kupata huduma za kifedha ili kulihudumia shamba lake.