Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Amnesty International limetoa ripoti yake inayoelezea kuwa serikali ya Tanzania imekiuka haki za binadamu, kuzuia uhuru wa vyama vya siasa kuendesha mikutano ya hadhara pamoja na kuukandamiza uhuru wa vyombo vya habari ambapo vyombo vya habari vinne vilifungiwa na baadhi ya waandishi wa habari kukamatwa.
https://p.dw.com/p/2bnFQ
Matangazo
Sikiliza mahojiano kati ya Isaac Gamba na mwanasheria wa haki za binadamu nchini Tanzania,Harold Sungusia, ambaye anatathimini ripoti hiyo ya Amnesty International.