1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Uchumi

Tanzania yatangazwa nchi ya Pato la Kati

2 Julai 2020

Benki ya Dunia imeingiza Tanzania, Benin na Mauritania katika orodha ya mataifa ya Pato la Kati Chini na kufanya jumla ya mataifa 28 barani Afrika. Huku mataifa yenye Pato la Kati juu yakiwa 11 barani humo.

https://p.dw.com/p/3egA3
Wakazi wa Dar es Salaam
Picha: DW/E. Boniphace

Mahojiano na mchumi Bravious Kyahoza

Sudi Mnette amezungumza na mchumi Dkt. Bravious Kyahoza wa Dar es Salaam, Tanzania, na kwanza aliuilza hatua hiyo ina maana gani kwa Tanzania.