Wakazi wa mji wa Sake huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wataka wasitengwe kutokana na muonekana wa meno yao na badala yake wanataka tiba ili kujilinda na athari za maji yenye madini ya floridi ambayo yanafanya meno kuwa na rangi ya njano. Zaidi tazama vidio ya Ruth Alonga kutoka Goma