JamiiUchoraji wa tattooTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiJacob Safari03.09.20183 Septemba 2018Sikiliza makala yetu leo ambapo mwandishi wa DW Wakio Mbogho anamuangazia mchoraji Tattoo kutoka Sabaot nchini Kenya, ambaye ana umahiri wa miaka kumi na moja katika kazi hii ya uchoraji.https://p.dw.com/p/34Cq9MatangazoHenry Ndege, kulia, akimchora tatoo mteja wake mjini Nakuru, KenyaPicha: DW/W. MboghoHapa Henry Ndege akiendelea kuchapa kazi akitumia kifaa chake kuchora tatoo.Picha: DW/W. Mbogho