1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kimbunga Chido chaua watu wengi Mayotte

16 Desemba 2024

Ufaransa imepeleka meli na ndege za kijeshi kwa lengo la kusaidia kazi ya uokozi na pia vifaa katika kisiwa chake cha Bahari ya Hindi Mayotte, baada ya kukumba na Kimbunga Chido ambacho kimesababisha idadi kubwa ya watu kupoteza maisha.

https://p.dw.com/p/4oD2N