Ufaransa, Uturuki na kadhia ya Waarmenia
28 Desemba 2011Matangazo
Abdu Mtullya anauangalia mgogoro mpya wa kihistoria kati ya mataifa mawili makubwa barani Ulaya, Uturuki na Ufaransa, kuhusiana na dhima ya utawala wa Kituruki wa Ottoman kwa mauaji ya halaiki dhidi ya jamii ya Waarmenia.
Makala: Ufaransa, Uturuki na kadhia ya Waarmenia
Mtayarishaji: Abdu Mtullya
Mhariri: Othman Miraji