Serikali ya Ujerumani imeahidi kuendelea kutoa misaada kwa wakimbizi wa Burundi na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wanaohifadhiwa nchini Tanzania. Ahadi hiyo imetolewa na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Regine Hees. Prosper Kwigize alituletea ripoti hii kutoka Kigoma