You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
NATO yajadili kuimarisha utengenezaji silaha Ukraine
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius amesema kipaumbele ni kuunda, kununua droni zinazotumia teknolojia ya AI.
Ukraine na Urusi zashambuliana kwa droni na makombora
Moscow na Kyiv zimekuwa zikiongeza mashambulizi ya droni na makombora katika siku za hivi karibuni.
Nchi za NATO kuimarisha utengenezaji silaha Ukraine
Mawaziri wa ulinzi wa baadhi ya mataifa ya Ulaya wameanza mkutano wao wa siku mbili mjini Berlin ambako wanajadili hatua
Mji wa Kiev washambuliwa kwa droni
Mashambulizi hayo pia yaliwajeruhi watu wanane katika mji wa bandari wa Odessa kusini mwa Ukraine.
Mawaziri wa G7 wakutana kujadili mzozo wa Gaza na Ukraine
Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa kundi la G7, wanakutana nje kidogo ya mji mkuu wa Italia, Roma.
Urusi yashambulia miundombinu ya nishati Ukraine
Wanajeshi wa Urusi wameshambulia usiku wa kuamkia leo miundombinu ya nishati kusini mwa Ukraine katika mkoa wa Mykolaiv.
Mawaziri wa G7 kujadili mzozo wa Gaza na Ukraine
Mawaziri wa mambo ya nje wa kundi la G7 wanakutana kujadili kuhusu vita vya nchini Ukraine.
Wahouthi waisaidia Urusi kuwapeleka Wayemen kupigana Ukraine
Usajili nchini Yemen unaratibiwa na kampuni iliyoasisiwa na mwanasiasa wa Houthi
Shambulizi la droni la Ukraine lazua moto Kaluga, Urusi
Mabaki ya droni yalianguka katika kiwanja cha kampuni ya viwanda na kuanzisha moto
Ukraine na Urusi zazima mashambulizi kadhaa ya droni
Jeshi la Ukraine limesema kwa jumla lilidungua droni 50 kati ya 73 za Urusi zilizorushwa usiku katika mikoa ya Ukraine.
Zelensky anamshutumu Putin kwa uhalifu mpya wa kivita
Zelensky anamshutumu Putin kwa uhalifu mpya wa kivita
Putin aapa majaribio zaidi ya kombora lililorushwa Ukraine
Rais Zelensky wa Ukraine amesema tayari anatafuta mifumo mipya ya ulinzi wa angani kutoka kwa washirika wake.
Urusi: Kombora dhidi ya Ukraine onyo kwa nchi za Magharibi
Ikulu ya Kremlin imesema shambulio la kombora la Alhamisi dhidi ya Ukraine ni ujumbe muhimu kwa mataifa ya Magharibi.
Seoul: Urusi iliipa Korea Kaskazini mifumo ya ulinzi wa anga
Korea Kusini imesema, Urusi iliipa Pyongyang mifumo ya ulinzi wa anga ili iwapeleke wanajeshi waisaidie katika vita.
Putin: Vita vya Ukraine vinachukua mkondo wa kidunia
Serikali ya Ukraine imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ya haraka dhidi ya Urusi.
Putin asema vita vya Ukraine vinachukua mkondo wa kidunia
Ametangaza kuwa Urusi imetumia aina mpya ya kombora la masafa ya kati, kushambulia kituo cha kijeshi cha Ukraine.
Vita vya Ukraine vinachukua sura mpya, nini kitatokea?
Ili kuchambua yanayoendelea tumezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa kutoka Marekani Profesa David Monda.
Zelensky asema Urusi imefyetua kombora la kuvuka mabara
Umoja wa Ulaya wasema shambulio la Urusi, Dnipro huenda likabadili mkondo wa vita Ukraine
Zelensky: Urusi inaitumia Ukraine kama eneo la majaribio
Zelensky amesema kombora lililotumika linalingana na ICBM, ingawa wataalamu wamesema huenda halikubeba kichwa.
Urusi yarusha kombora la kuvuka mabara dhidi ya Ukraine
Hiyo ni baada ya Ukraine kushambulia ndani ya Russia kwa kutumia makombora kutoka Marekani na Uingereza.
Ukraine yaishambulia Urusi na makombora ya Uingereza
Msemaji wa Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema hawezi kuzungumzia ripoti hizo au masuala ya kiutendaji.
Rais Xi ahimiza amani Ukraine na usitishaji mapigano Gaza
Rais wa China Xi Jinping ameyasema hayo wakati akifanya ziara ya kiserikali katika mji mkuu wa Brazil, Brasilia.
Urusi yasema Biden amedhamiria kurefusha vita vya Ukraine
Marekani tayari ilikwishatoa ruhusa kwa Ukraine kutumia makombora yake ya masafa ya kati kuishambulia Urusi.
Zelensky: Marekani ikipunguza ufadhili, tutashindwa vita
Trump amekuwa akionyesha kupinga hatua ya utawala wa Biden kuipatia Ukraine mabilioni ya dola.
Mkutano wa G20 wahitimishwa Brazil
Mkutano huo wa siku mbili wa G20, ulihitimishwa na ombi la kuwezesha majadiliano ya COP29.
SIku 1,000 za vita vya Ukraine
Leo imetimia siku 1,000 tangu kuanza kwa uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine. Vifo na uharibifu vimekuwa vya kushtusha, mamia kwa maelfu ya watu wamekufa, mamilioni kuporwa, na vita vimegharimu mabilioni ya dola. Wacha tutizame athari ya vita hivyo na je itagharimu kiasi gani kuijenga upya nchi hiyo?
Jeshi la Urusi lasema Ukraine imefyatua kombora la masafa
Jeshi la Urusi lasema Ukraine imefyetuwa makombora ya masafa marefu kutoka Marekani, katika mji wa Bryansk
Rais Volodymyr Zelensky ataka Urusi kushinikizwa zaidi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameutolea wito Umoja wa Ulaya kuibana Urusi kuelekea kile ilichokiita amani ya haki.
Zelenskiy: Mwaka 2025 kuamua atakayeshinda vita Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema Jumanne kuwa mwaka 2025 ndio mwaka utakaoamua ni nani atakayeshinda vita vin
Vita vya Urusi na Ukraine vyaingia siku elfu moja
Ukraine imesema itaendelea kupambana na kuzuia uvamizi wa Urusi Jumanne ikiwa zimetimia siku elfu moja tangu Kremlin.
Ikulu ya Kremlin imeonya Ukraine kutumia makombora
Ikulu ya Kremlin imeonya kuhusu uamuzi uliotangazwa na Marekani wa kuiruhusu Ukraine kutumia makombora yake ya masafa.
Iran imekosoa kuwekewa vikwazo vipya na EU na Uingereza
Iran imekosoa hatua ya kuwekewa vikwazo vipya na EU na Uingereza
Ukraine: Uamuzi wa Marekani utabadili mwelekeo wa vita
Ukraine imesisitiza kuwa kadiri Ukraine inavyoweza kushambulia, ndivyo vita vitakavyopungua.
Viongozi wa G20 watoa wito wa usitishwaji vita Gaza,Lebanon
Viongozi hao wa G20 wamehimiza pia amani nchini Ukraine.
Marekani yaruhusu makombora yake kutumika dhidi ya Urusi
Rais Joe Biden ameiruhusu Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu kuishambulia miundombinu ya kijeshi ndani ya Urusi.
Kansela Olaf Scholz ashinikizwa kutowania tena ukansela
Scholz alitangaza nia yake ya kuwania tena ukansela miezi kadhaa kabla ya kuporomoka kwa serikali wiki iliyopita.
Mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine yawaua watu kadhaa
Amnesty International limesema vita vinavyoendelea vya Urusi dhidi ya Ukraine ni sawa na uhalifu wa kivita.
Biden airuhusu Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu
Kurejea kwa Trump madarakani kunaendelea kuzusha hofu kuhusu mustakabali wa uungaji mkono wa Marekani kwa Kyiv.
Nchi za G7 zasisitiza kuendelea kuiunga mkono Ukraine
Nchi za G7 zasisitiza kuendelea kuiunga mkono Ukraine na kiuiwajibisha Urusi kwa uvamizi wake
Urusi yaishambulia Ukraine kwa nakombora na droni
Ukraine yashambuliwa na Urusi kwa makombora na ndege zisizo na rubani
Zelenskiy ataka kumaliza vita mwaka ujao
Zelenskiy amesema anataka kumaliza vita kwa diplomasia, huku Moscow ikikubali mazungumzo iwapo Trump atayaanzisha.
Zelensky anasema anataka kumaliza vita kwa diplomasia
Zelensky amesema angetamani vita na Urusi vimalizike mwaka ujao kwa njia za kidiplomasia,
Zelensky akosoa mazungumzo ya Scholz na Putin
Scholz alizungumza na Putin kwa saa moja, hayo yakiwa ni mazungumzo ya kwanza kati ya viongozi hao tangu 2022.
Scholz, Putin wazungumza kwa mara ya kwanza tangu 2022
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Urusi Vladimir Putin hii leo.
UM: Urusi imezidisha mashambulizi ya droni Ukraine
Umoja wa Mataifa umesema jeshi la Urusi limezidisha mashambulizi ya droni na kuwalenga raia nchini Ukraine.
Urusi yaishambulia Ukraine, mtu mmoja auawa, 10 wajeruhiwa
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana na kusababisha uharibifu mkubwa na hasa kwenye miundombinu.
Shambulio la Urusi kwenye mji wa Odessa laua mtu 1
Mtu mmoja ameuawa na wengine 10 wamejeruhiwa kufuatia shambulio la anga la Urusi kwenye mji wa bandari wa Odesa.
Urusi iko tayari kwa mazungumzo ya kumaliza vita Ukraine
Donald Trump ameahidi kuvimaliza vita hivyo kwa haraka, bila kueleza njia atakayotumia.
Trump, Biden wajadili vita vya Ukraine na Mashariki ya Kati
Viongozi hao wawili wamejadili masuala muhimu kuhusu usalama wa kitaifa na sera za ndani
Zelensky amshukuru Kansela Scholz katika mazungumzo yao
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 69
Ukurasa unaofuatia