Kilimo mseto kinachohusisha upandaji wa miti na mazao mengine kimekua kikitekelezwa nchini Kenya kwa muda sasa.
Kaunti ya Trans -Nzoia ni mojawapo wa sehemu zinazofanya aina hii ya kilimo.Ungana na Bernard Maranga katika makala ya Mtu na Mazingira kuangazia umuhimu wa ukuzaji miti pamoja na mazao mengine.