1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ungana na Sylvia Mwehozi katika Afrika Wiki Hii

Sylvia Mwehozi8 Januari 2021

Shule nchini Kenya zafunguliwa huku hatua za kukabiliana na janga la virusi vya corona zikirefushwa. Waziri wa mambo ya nje wa China aitembelea Tanzania, Uganda yaingia dakika za lala salama kabla ya uchaguzi mkuu, hali ya usalama bado ni ya kulegalega mashariki mwa DRC, na Rais Nana Akufo Addo wa Ghana aapishwa muhula mwingine, Kwa haya na mengine mengi tafadhali ungana na Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/3nhRk