Matukio ya unyanyasaji si mapya kote ulimwenguni na hasa dhidi ya wanawake. Kundi hili linakumbwa na madhila ya kila aina linapokuja suala la manyanyaso. Lakini je vitendo kama hivi vitazuiwa kwa njia gani? Karibu usikilize makala hii ya Makala Yetu leo kutoka huko Zanzibar usikie zaidi.