SiasaUpinzani Kenya kususia uchaguzi mkuu?03.05.20173 Mei 2017Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya NASA umetishia kususia uchaguzi mkuu iwapo maafisa wake hawataruhusiwa kutangaza matokeo ya urais katika vituo vya uchaguzi kwenye vituo vya kupigia kura.https://p.dw.com/p/2cILYPicha: Reuters/T. MukoyaMatangazokenia nasa - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio