Upinzani kujitenga Kenya na kuunda taifa jipya?
24 Agosti 2017Matangazo
Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai, amekemea vikali maoni hayo akisema yataligawa taifa hata zaidi kwa misingi ya kikabila. Caro Robi amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Herman Manyora, na kwanza amemuuliza mtizamo wake kuhusu suala hilo la baadhi ya maeneo kujitenga ili kujitawala.