1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UtamaduniKenya

Utamaduni na Sanaa: Je, mustakabali wa vyungu uko mashakani?

2 Desemba 2023

Jamii ya Wajomvu mjini Mombasa wanaamini kuwa ufinyazi sio tu sehemu ya kuhifadhi utamaduni wao bali pia ni nyenzo muhimu ya kujitafutia riziki. Hata hivyo, wanakabiliwa na ushindani katika soko kutokana na uwepo wa vyombo vya kisasa ambavyo pia vinapatikana kwa bei nafuu. Je, vyombo vya kisasa vinatishia mustakabali wa vyungu? Mtayarishaji wa Makala hii ya Utamaduni na Sanaa ni Babu Abdalla.

https://p.dw.com/p/4Zhtg