Uturuki yalalamika kwa Israel09.09.20079 Septemba 2007https://p.dw.com/p/CBRUMatangazoANKARA: Wizara ya nje ya Uturuki imelalamika rasmi kwa serikali ya Israel baada ya kugundua matangi ya mafuta yanayosemekanani mali ya kikosi cha wanahewa cha Israel mpakani mwa uturuki na Syria-vyombo vya habari vya Israel vimeripoti hii leo.