JamiiViongozi wa kidini Mombasa wapinga kuhusu reli ya SGRTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiFaiz Musa Abdallah14.08.201914 Agosti 2019Viongozi wa dini ya kiisilamu kaunti ya Mombasa, Kenya wanapinga mipango ya serikali ya kutaka makasha ya mizigo inayoingia katika bandari ya Mombasa kusafiriswha kupitia reli ya kisasa ifahamikayo kama SGR kupelekwa Nairobi.https://p.dw.com/p/3NtnfMatangazo