Viongozi wa juu wahudhuria mkutano wa mazingira Colombia
29 Oktoba 2024Matangazo
Wajumbe kwenye mkutano huo wa 16 wa Umoja wa Mataifa juu ya uhai anuwai wana jukumu la kutafuta mbinu za ufuatiliaji na ufadhili ili kuyafikia malengo 23 ya ulinzi wa hali asilia.
UN: Kuelekea COP28 ulimwengu wapambana na mafuta ya visukuku
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na jopo la wataalamu wa mazingira, limia 17.6 tu ya ardhi na maeneo ya maji pamoja na asilimia 8.4 tu ya bahari na fukwe ndiyo mbayo yameorodheshwa kuwa chini ya hifadhi.
Wataalamu wamesema imebakia miaka mitano tu ili kuweza kuyafikia malengo yaliyowekwa katika kulinda uhai anuai.