Vita Baridi ulikuwa mzozo wa kisiasa uliofuatia vita kuu vya pili vya dunia. Ulizihusisha kanda ya mashariki (Jamhuri ya Kisovieti na washirika wake) dhidi ya kanda ya Magharibi (Marekani na washirika wake wa NATO).