1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafugaji Kenya na visasi kwa wanyamapori

Bernard Maranga/Daniel Gakuba9 Januari 2017

Wafugaji nchini Kenya huwaua wanyamapori ambao hula mifugo yao. Hali hiyo inaweza kuwa na athari kubwa iwapo itaendelea. Makala haya ya Mtu na Mazingira yataeleza kwa kina hatua wanazochukua wafugaji hawa katika kukabiliana na wanyamapori.

https://p.dw.com/p/2VVX8