Wakati serikali ya Uganda ikianza kutoa ruzuku kwa jamii za watu waliorodheshwa kuwa miongoni mwa wanaokabiliwa na hali ngumu ya maisha katika kipindi hiki cha zuio la COVID-19, idadi kubwa bado inalalamika kutopokea pesa hizo wala kuorodheshwa.Sikiliza ripoti ya Lubega Emmanuel.