Katika sekta ya mawasiliano ni kawaida sana kusikia wataalamu wakitaja teknolojia ya 2G, 3G, 4G na pengine 5G. Watumiaji wa simu aina ya smartphones wanatumia simu zenye uwezo wa teknolojia hizo pasipo kufahamu maana yake, ndio maana Sylvia Mwehozi anakuletea makala ya Sema Uvume ili ufahamu mengi zaidi kuhusu hilo.