Wakimbizi: Maisha mapya UgandaSimone Schlindwein31.03.201631 Machi 2016Anayekimbilia Uganda kutoka nchini mwake anaruhusiwa kujenga nyumba, kufanya kazi huko na akiwa na bahati, anapatiwa hata kiwanja. Hii ni sehemu ya mpango wa kiuchumi na kisiasa wa Uganda.https://p.dw.com/p/1INX2Picha: DW/S. SchlindweinMatangazo