1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi wa Burundi kambi ya Nduta watakiwa kuondoka

Prosper Kwigize3 Februari 2020

Wakimbizi 1,028 kutoka Burundi waliokimbilia katika kambi ya Nduta, Tanzania mwishoni mwa mwaka jana wamepewa mwezi mmoja kuondoka kwa hiari kabla ya kurudishwa kwa nguvu. Hatua hiyo imetangazwa na idara ya uhamiaji mkoani Kigoma baada ya kubaini kuwa wakimbizi hao hawakutumia utaratibu unaotakiwa wakati wa kuingia kambini humo.

https://p.dw.com/p/3XCSc