SiasaWakimbizi wa Burundi wamiminika Rwanda08.03.20188 Machi 2018Rwanda imewapokea kwa wakati mmoja wakimbizi wengine wa Burundi zaidi ya 3000. Wakimbizi hao waliovuka mpaka kutoka eneo la Kamanyola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanasema wamekimbia kwa ajili ya usalama wao.https://p.dw.com/p/2tyEoPicha: Reuters/J. BizimanaMatangazoRuanda: Flüchtlinge aus Burundi - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio