Nchi nyingi zimeruhusu masomo kuendelea miezi kadhaa baada ya shule kufungwa virusi vya corona viliporipuka. Kenya ni miongoni mwa nchi hizo, ikiwaruhusu wanafunzi wa darasa la nne, nane na kidato cha nne kurejea shuleni. Je hali ikoje kiafya na kielimu ikizingatiwa janga la corona linaendelea kusababisha maafa nchini humo? Fathiya Omar analiangazia hilo kwenye Makala Yetu Leo.