Shida mbali mbali zinazo wakabili wanawake wanao ishi na virusi vya Ukimwi
https://p.dw.com/p/CHo6
Matangazo
katika kipindi hiki mwakilishi wa jumuiya ya kimataifa ya wanawake wanaoishi na Ukimwi nchini Tanzania bi Lydia Rwechungura anaelezea matatizo mengi yanayo mkumba mwanamke anyeishi na Ukimwi.