1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waokoaji wavipata vibox vyeusi katika ajli ya ndege ya Uturuki

1 Desemba 2007
https://p.dw.com/p/CVP9

ISTANBUL.Mamlaka nchini Uturuki imesema kuwa waokoaji wamefanikiwa kuvipata vijiboksi vyeusi viwili vinavyorekodi mwenendo wa safari, baada ya ndege ya abiria kuanguka jana alfajiri karibu na mji wa Isparta kusini magharibi mwa nchi hiyo na kuua watu wote 57 waliyokuwemo.

Ndege hiyo iliyokuwa ikimilikiwa na shirika la ndege la Uturuki la Atlasjet ilianguka jana katika milima ikitoea Istanbul.