Miongoni mwa utakayoweza kuyasikia katika kipindi karibuni ni pamoja na Warundi kumkumbuka mchezaji Nyota Ndikumana Hamadi, mapokeo ya kufungo cha miaka miwili cha mwigizaji wa kike nchini Tanzania Elizabeth Michael. Zaidi kuhusu habari hizo na nyinginezo ungana na Sudi Mnette.