1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbiu ya Mnyonge

Amida Issa7 Desemba 2017

Ni wazaliwa wa Burundi, lakini wana asili ya Omani. Kwa kuwa hawajatambuliwa kama raia nchini Burundi, wamekuwa wakiomba uraia wa Omani. Je juhudi zao zimefikia wapi. Amida Issa anasimulia zaidi kwenye Makala ya Mbiu ya Mnyonge

https://p.dw.com/p/2ovbF