Watu wanne Kenya wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu IS, wamefikishwa katika mahakama ya Mjini Mombasa na kushtakiwa kwa kosa la kupanga njama za kufanya mashambulio nchini humo.
https://p.dw.com/p/2XvsZ
Matangazo
Washukiwa hao ambao yadaiwa waliingia Kenya kutokea Syria, wamewekwa rumande kusubiri uchunguzi ukamilike.