Ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa Afrika, na sasa wazazi wengi wamekuwa wakiwashawishi watoto wao kurithi kazi wanazozifanya wao. Je wewe kama kijana hili unalionaje? Makala haya ya Vijana Tugutuke inawakutanisha vijana huko nchini Burundi, na kujadiliana.