Hamas: Mashambulizi ya Israel yaua watu 48 gaza
28 Desemba 2024Matangazo
Idadi hiyo inafanya jumla ya vifo katika vita hivyo kufikia watu 45,484.Taarifa ya wizara hiyo imefafanua kwamba watu wasiopungua 108,090 wamejeruhiwa katika zaidi ya miezi 14 ya vita kati ya Israel naHamas, vilivyochochewa na shambulio la kundi la Hamas la Oktoba 7, 2023.